Kumbe Inawezekana, Hip Hop Yazima Amapiano Zote Trending Youtube, Rosa Ree Mwamba Kabisa

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

Kumbe Inawezekana, Hip Hop Yazima Amapiano Zote Trending Youtube, Rosa Ree Mwamba Kabisa

Majibizano ya diss songs kati ya wasanii wa Hip Hop kutoka Tanzania dhidi ya rapa @khaligraph_jones wa Kenya, yamuibua Malume (@moni_centrozone) na kusema kuwa, "Hip Hop imezima Amapiano zote YouTube….".

Kupitia YouTube hizi ndizo ngoma ambazo zimeongoza kufuatiliwa zaidi nchini (Popular right now) na zipo 10 bora. Kwenye mabano ni nafasi iliyoshika YouTube.

1. Rosa Ree - Mama Omolo (2)
2. Khaligraph Jones - Bongo Favour (3)
3. Rosa Ree - Mama Omolo Video (4)
4. Young Killer - Khali Majonzi (6).
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad