AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Club ya JS Kabylie ya Algeria imetangaza kumsajili Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Simon Msuva (29) kwa mkataba wa miaka miwili.
Taarifa ambazo tumezipata ni kuwa Msuva atakuwa analipwa Dola 25,000 ambazo ni zaidi ya sh mil 62 za Kibongo kwa mwezi.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK