Mbunge Emmanuel Ole Shangai Aachiwa Huru Baada ya Kukamatwa na Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Arusha. Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ambaye alikuwa anashikiliwa na Polisi mkoani Arusha ameachiwa kwa dhamana usiku wa leo Jumatano Agosti 23, 2023.

Akizungumza baada ya kuachiwa Ole Shangai amesema kwa siku tatu tangu alipokamatwa aligoma kula na baada ya kujisalimisha Karatu alisafirishwa saa saba usiku Agosti 22 kurudishwa Arusha na alikuwa Kituo cha Diplomasia jijini Arusha.

Mbunge huyo alijisalimisha polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa kuhusika na tukio la kushambuliwa waandishi wa habari lililotokea Agosti 15, 2023.

Waandishi hao walishambuliwa na wananchi kwenye mkutano uliofanyika eneo la Enduleni wilayani Ngorongoro.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad