Hawa Hapa Ndio Wazazi wa Mwanamuziki Burna Boy, Mama Ajitosa Kuwa Meneja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mama yake Burna Boy ambaye ndie meneja wa kazi za muziki za mwanae, ajitosa kusherehekea miaka 33 ya ndoa yake na baba Burna Boy

Yeye na mume wake huyo walifunga ndoa mwaka 1990 na wamejaaliwa watoto watatu ambao ni Burna Boy(32) na wadogo zake wenye miaka 30 na 29

Mama mzazi wa Burna Boy ni msomi wa degrees za vyuo vikuu hasa katika lugha za kigeni na tafsiri za lugha, anazungumza vizuri lugha 6 ambazo ni kiingereza, kifaransa, kiitaliano, Kijerumani na Kiyoruba na Pijini english ya Nigeria.

Kwa miaka kumi alifundisha Kifaransa katika chuo kikuu cha elimu Hartcourt, Nigeria pia aliwahi kuwa mtafsiri lugha katika Federation of West African Chambers of Commerce

Aliamua kuacha kazi huko kwingine na kuamua kujikita zaidi kiwanda cha muziki alikoona kuna maslahi zaidi hasa kumsimamia mwanae ambapo Burna Boy mwenyewe ndie alimuomba mama yake awe meneja wake baada ya kuona ana uwezo mkubwa katika hilo

Mwaka 2021 Bilboard ya Marekani katika orodha yao ya Internationa Powers Players List kutambua mchango wake kwa anachokifanya katika ulimwengu muziki ambapo mwanae kwasasa sio tu superstar mwenye mafanikio katika muzika bali ameweza kukubalika hata kidunia ikiwemo America na Ulaya
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad