Mange Kimambi alimlipua Harmonize baada ya kuonjesha wimbo mpya anaotaka awe 'Mchepuko' wa Hamisa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mange Kimambi alimlipua Harmonize baada ya kuonjesha wimbo mpya anaotaka awe 'Mchepuko' wa Hamisa


 Ameandika haya Mange Kimambi:

Harmo nakupenda ila mambo ya kumfukuzia Misa ndo staki…. .

Misa huwezi kumpata hata hata ulete range Misa 1 mpaka Misa 10 humpatiiiiiii…..

Side nigga ndo uwe wewe na huo mdomo wako? siku mbili tu utahakikisha watu wamejua unamla🤣🤣🤣…. kama ulivyohakikisha tumejua unamla Esma na huku unajua kabisa utamwaribia kwa kaka yake sasa Esma katengwa na kaka yake kaomba msamaha mpaka kachoka. Ukahakikisha tumejua na studio aliingia eti ndo uwe side nigga wa Misa na ukae kimya?? You will sing like a bird 🤪🤪.

Kwanza ule ubff wenu ulikuwa unaniboa bora hata kaku unfollow. Bwana kacheze unapochezaga Misa level ingine sasa hivi.

Rudi kule kwa mtu na mama yake wale ndo saizi yako huku kwa Misa hapana…. Tena nisikusikie tena unamfukuzia Misa, utaniudhi… Alafu huna adabu, mtu yuko kwenye relationship unamfukuzia publicly for what kama sio kutafuta kiki za kijinga??

Yani hata ungekuwa mwanaume wa mwisho duniani Misa hawezi kutoka na wewe. Please uwe unaangalia na mademu wa kufukuzia.

Yani mjue siku zile Harmo alivyoanza kumposti Misa kama BFF wake aiseee nilichanganyikiwa ikabidi ntume watu waulize kwa Misa what’s going on and if she can stop that shi** . Ilikuwa inamwaribia Misa kwa kweli. BFF where? BFF how?! ' Mange


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad