Mchambuzi : Usishangae Kapombe Kuachwa, Jiulize Swali hili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

  

Mchambuzi: Usishangae Kapombe kuachwa, jiulize swali hili.

Wakati Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania kikiitwa jana Agosti 30 kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya AFCON dhidi ya Timu ya Taifa ya Algeria.


Kocha wa Stars Adel Amrouche ameacha kuwaita nyota wengi ambao walikuwa na uhakika katika kikosi hicho na wakionekana kuwa na viwango katika Viloabu wanavyochezea.


Miongoni mwa Wachezaji walioachwa kuitwa ni mlinzi wa kulia wa Simba, Shomari Kapombe.


Hatua hiyo imezua maswali mengi lakini Mchambuzi wa Michezo kutoka Clouds Media, Farhan Kihamu ameandika,


Shomari Kapombe kutoitwa National Team kwangu sijashangazwa kwa kuwa nilifahamu hatoitwa, baada ya mechi na Uganda aliitwa na Kocha kuwa ameshuka kiwango ndio maana hakumuita awali, niliamini kikosi hiki cha sasa hatomjumuisha na ni kweli hajamjumuisha.


Tuulizane hapa kama kuna BEKI BORA WA PEMBENI nchini mzawa wa kumzidi Shomari, ni nani, yupo wapi?? Yaani Shomari kashuka kiwango?


Hebu tusaidiane kujibu swali hili, Tupe majibu yako


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad