Rais Samia Ampa Miezi Sita Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO Kuzima Kelele za Umeme

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Samia Ampa Miezi Sita Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO Kuzima Kelele za Umeme

Rais Samia Ampa Miezi Sita Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO Kuzima Kelele za Umeme

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi sita hataki kusikia kelele za kukatika kwa umeme.


“Nenda kaanzie Maharage alipofikia najua utaweza, nakupa miezi sita nakuangalia pale TANESCO, kazi yako ya kwanza kusimamia ukaratabati wa hiyo mitambo lakini baada ya hiyo miezi sita nisisikie kelele tena za kukatika kwa umeme, kwahiyo tutasaidiana lakini nenda najua utaweza, sawa..!?”

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad