Simba Akiondoka Chama tu, Timu Inakufa Kibudu - Kocha Afunguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Shabiki kindakindaki wa Klabu ya Yanga ambaye pia ni mchambuzi wa soka, Jimmy Kindoki amesema kuwa Klabu ya Simba inategemea mchezaji mmoja tu ambaye ni Clatous Chota Chama raia wa Zambia, na siku akiondoka timu itakufa.


Kindoki ambaye pia anamiliki leseni ya ukocha amesema hayo kupitia kipindi cha KipengaXtra cha EA Radio wakati wakijadili mambo mbalimbali yanayohusu soka la Bongo.


"Tunaposema uimara wa timu ni kwamba kwenye kila nafasi kwanza hakuna mchezaji tu mmoja anayetegemewa maana yake kuna nafasi zaidi ya mchezaji mmoja kwenye kila nafasi.


"Lakini hao hao wachezaji wamekamilika technically, kwamba Mwalimu akija hata akibadili mfumo wakati mechi inaendelea wachezaji wanaweza ku-copy na mazingira fasta na mechi ikampa matokeo.


"Kitu kama hicho huwezi kukipata Simba, Simba akiondoka Chama tu timu imekufa hapo hapo," amesema Jimmy Kindoki.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad