Wawili Wauawa Wakiwachezea Tembo Waliovamia Makazi yao Arusha, Waliwashika Mkia na Kupiga Picha nao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wawili Wauawa Wakiwachezea Tembo Waliovamia Makazi yao, Waliwashika Mkia na Kupiga Picha nao


Watu wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia kundi la Tembo saba kuingia katika makazi ya Watu katika Kata ya Dumbeta Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara.


Akiongea kwa njia ya simu Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara ACP George Katabazi amesema " waliofariki Wanaume wawili na majeruhi wawili huku mmoja akiwa ni Mwanamke ambapo kwa taarifa tulizopata ni kwamba mmoja alikuwa akimshika mkia Tembo na mwingine akipiga nae picha kwahiyo hao Tembo ndipo wakacharuka"


"Nitoke wito kwa wakazi mkoa wa Manyara kuacha kuchezea wanyama wakali kama Tembo,Simba na wanyama wengine wakali maana hao hawana tabia za kibinadamu bali wanatabia za wanyama ila kama kuna Mtu anataka kupiga picha na wanyama zipo Mamlaka husika na taratibu zipo, hivyo wananchi wanapaswa kutoa taarifa kwa Mamlaka husika pindi wanapoona matukio kama haya kwenye Maeneo yao ili Mamlaka zinazohusika ziweze kuwadhibuti" RPC Katabazi.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad