Zamaradi Ampamba Mumewe Kupangua Madai ya Mange Kimambi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Zamaradi ampamba mumewe kupangua madai ya Mange - "To this little Boy from NDANDA - I am so proud of you 😊, Nikiangalia Safari yako ya maisha ni mfano tosha kwa kijana alie chini na hajui atafikaje!! Umetokea kwenye familia ya kawaida mnoo!!Lakini kwako haikuwa KIKWAZO wala UKUTA wa kukuzuia kufika ulipo leo, hukuwa na chochote kile lkn ulikuwa na NDOTO!! Ndoto iliyobebwa na spirit kubwa ya upambanaji!! Ndoto iliyokusukuma kujaribu kila cha HALALI ambacho ulidhani kitakusogeza, uliipambania kwa njia tofauti, HUKUCHAGUA KAZI!!

Umeshalala sana chini ya magari kama fundi garage wa kawaida kabisa unaetumwa huku na huku, lakini leo umeweza kuwa na GARAGE KUBWA inayotoa ajira kwa vijana wengi kama kuenzi kilichokukuza, umeshakuwa mwalimu wa Driving School NDANDA MISSION usiejua gari lako utamiliki lini 😊, leo unamiliki magari makubwa ambayo ni ndoto kwa wengine, umeshauza sana mitumba NDANDA MADEKO kwenye kibanda kidogo ulichokijenga kwa tabu,

leo umefanikiwa kujenga nyumba zako Mjini na hadi SEHEMU YA IBADA kwenu, tazama leo MUNGU alipokuweka!! Wewe sio wa kawaida, story yako ni HAMASA kwa kijana yeyote ambae leo hana nyenzo wala njia, ni story inayotoa somo la kutokukata tamaa, ni story inayoonesha kila jambo linawezekana, kutoka NDANDA mpaka leo you are running this TOWN!!😊 leo haupiti vijiwe viwili vitatu ukakosa kusikia jina lako,

una nguvu ya kukusanya watu na wakakujadili!! Sio kitu cha kawaida, kutoka Zero mpaka leo ni Shujaa!!! Na nakuita Shujaa sababu umefanya mengi kugusa wengine, tena yale ambayo walitakiwa kufanya WALIOKUZIDI!! Na niseme wewe sio shujaa wa kwenu tu, ila hata kwangu tuliekutana ukubwani,

Najua bado HUJAFIKA POPOTE PALE, lakini kwa ulipotoka UMEFANIKIWA!!! Sababu mafanikio sio utajiri ila zile HATUA mtu anazopiga, na hatua zako ni KUBWA!! Na kwangu wewe ni INSPIRATION kwa vijana wengi.You are a Go Getter, wewe ni aina ya mtu unaefanya vitu kwa Vitendo, umebarikiwa akili kubwa ya kuweza kufanikisha vitu,

najua mitaani kuna wengi wa aina yako ambao wako kwenye familia maskini na wanadhani hawatafika, hii ni kwa ajili yenu, IKAWAPE NGUVU!! Na kuwaonesha kuwa The Future is for EVERYONE!! NINAJIVUNIA WEWE👊Till Death Do us Apart
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad