Fiston Mayele Awachana Simba 'Wamefuzu Kikanuni tu, Hamna Mpira Pale'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Fiston Mayele Awachana Simba 'Wamefuzu Kikanuni tu, Hamna Mpira Pale'

 

Straika wa zamani wa Yanga Fiston Mayele akizunguzia ubora wa timu yake ya zamani Yanga kuwa inazidi kupanda kila siku, mwaka jana walicheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika lakini sasa hivi wameingia Makundi baada ya miaka 25 kwa hiyo ni hatua kubwa.


Lakini wakati akiwa anazungumzia ubora wa chama lake la zamani ametupa kijembe kwa wapinzani wake Simba kwamba wamebebwa na kanuni timu inaingia Makundi na haijamfunga mwenziye, wamefuzu kwa kanuni.


"Yanga inakua Kila Siku wanacheza na wanakupa burudani, Simba kwanza wameingia hatua ya makundi kwa goli la ugenini we uliona wapi hiyo?," amesema Fiston Mayele mshambuliaji wa zamani wa Yanga.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad