Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), imewataka wakazi wa maeneo ya Dar es Salaam, Tanga, Mafia, Pwani, Unguja na Pemba kuchukua tahadhari kwasababu Mvua kubwa zinatarajiwa kunyesha kwa siku 3 kuanzia leo Oktoba 29, 2023.
TMA imeonya kuwa Mvua zinaweza kusababisha Mafuriko pamoja na kuharibu shughuli za Kiuchumi hivyo Wananchi waepuke kukaa maeneo yenye msongamano wa Watu, pia, wahifadhi mahitaji muhimu ndani.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA