Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Afariki Dunia Akiwa Guest House

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Dkt Alex Kazula anayetajwa kuwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro (DMO) amefariki dunia akiwa nyumba ya kulala wageni iliyopo eneo la Soweto mjini Moshi.

Kifo cha Dkt Kazula kinatajwa kugubikwa na utata kutokana na taarifa za namna alivyoingia katika gesti hiyo na watu aliokua ameongozana nao.

Kisare Makori ni Mkuu wa wilaya ya Moshi amethibitisha kutokea kwa tukio akikeleza kuwa mwili wa Dk.Kazula ulikutwa Oktoba 9, 2023 kwenye moja ya nyumba ya kulala wageni akiwa kwisha fariki dunia.

Amesema Jeshi la polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama wanachunguza kifo cha daktari huyo kujua kimesababishwa na nini.

Kamanda wa polisi Mkoa wa Kilimanjaro ACP Saimon Maigwa wanashikiliwa wanawake wawili kwa kukutwa na simu za marehemu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad