Saudi Arabia Mdhamini Mkuu African Footbal League

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Saudi Arabia imeingia kwenye ushirikiano wa kihistoria wa miaka mitano na soka la Afrika ukihusisha Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na Shirikisho la Soka la Saudi Arabia (SAFF)

Nukuu CAF | Mkataba uliosainiwa utazingatia mipango na maendeleo ya kiufundi na soka katika klabu na Mataifa, soka la wanawake, kusaka vipaji, mashindano, michezo ya kirafiki na fursa za kibiashara,”

Makubaliano mengine ya CAF ni juu ya kampeni ya Visit Saudi, mkataba unaosimamia kutangaza utalii nchini Saudi Arabia ambao ni wafadhili wakuu wa African Football League (AFL) itakayoanza Oktoba 20 hadi Novemba 11, 2023 ikihusisha vilabu nane bora barani Afrika
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad