Alex Ngereza: Kuna wachezaji Simba wamepelekwa Kamati ya Nidhamu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Alex Ngereza: Kuna wachezaji Simba wamepelekwa Kamati ya Nidhamu


Wakati vuguvugu la mabadiliko likiendelea kuitafuna Simba baada ya kupokea kipigo kizito cha Bao 5-1 kutoka kwa Yanga Jumapili ya Novemba 5.


Kuna mengi yaliyosemwa kuhusiana na kipigo hicho huku ikitajwa kuwa kuna wachezaji walihusika kuihujumu Timu hiyo.


Sasa Mchambuzi wa Michezo kutoka TV3 anatudokeza kuwa tayari kuna wachezaji washafikishwa katika kamati ya Nidhamu ya Klabu hiyo iliyo chini ya aliekuwa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova.


"Chama,Saido Ntibazonkiza na Hennock Inonga wamepelekwa kamati ya nidhamu baada ya kuhisiwa kwamba walihusika kuihujumu Simba kwenye mchezo wa derby dhidi ya Yanga kwenye Ushindi wa magoli matano kwa moja"


Je unadhani ni kweli wachezaji hao walihusika kuihujumu mechi ya Mtani?

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad