Mwanamuziki Chino pamoja na Dancers Wake Wapata Ajali Mbaya ya Gari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


@chino_kidd7 na dancers wake wamepata ajali mbaya ya gari huko Tanga leo asubuhi ambapo taarifa za awali zimedai walikuwa wakitoka Moshi kwaajili ya show.

Taarifa ya ajali hiyo imethibitisha na @abbah_process ambaye amesema dancers hao wamevunjika miguu huku Chino akiumia kifuani kutokana na kukandamizwa na kitu kizito. Ajali hiyo imetokea baada ya gari lao aina ya Alphard kugongana na Lori.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad