Kinana: CCM ina taratibu zake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kinana: CCM ina taratibu zake


MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema CCM inataratibu zake za kupata viongozi na mchakato wa ndani ya chama hicho utaanza Julai 2025.


Aidha, amewaonya wanachama wa chama hicho kuacha kupoteza muda wa kupanga safu hivi sasa na badala yake waelekeze nguvu katika kutekeleza ilani ya CCM kwakupeleka maendeleo kwa wananchi.


Kinana ameyasema hayo leo wakati akiagana na wazee wa Mkoa wa Kagera katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Kagera, akielekea wilayani Chato.


Amesema, "niwaombe mshikamane kuwaletea wananchi maendeleo, msihangaike sasa hivi na nani achukue nafasi ipi, mnapoteza muda mwingi tumtoe huyu, tumtoe yule, mnamzungumzia Mbunge, Mbunge si yupo na CCM inataratibu zake 2025 itajulikana, " amesisitiza Kinana.


Amesema, wana CCM wanapaswa kushughulika na shida za wananchi kwani ndio watakaowahoji mliahidi hiki na kile kiko wapi?

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad