Mtalii Aliyeua Mambo Mrefu Kuliko Wote Hajafanya Kosa, Alikuwa na Kibali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kufuatia mlipuko wa kihisia ambao umeibuka katika mitandao ya kijamii baada ya Mwindaji kutoka nchini Marekani Josh Bowmer kutamba kwenye mitandao baada ya kumuua Mamba mkubwa zaidi Duniani aliyekuwa anapatikana nchini Tanzania, #XXLyaCloudsFM imepiga story na @nakaayasumari ambaye ni mtaalamu wa masuala ya Wanyama Pori kutupa mwanga wa ambacho kimetokea!

Nakaaya anaeleza kwa uelewa wake kuwa kama Taifa lina ruhusu uwindaji kwa baadhi ya Wanyama Pori ikiwa ni kwa kufuata taratibu maalum! Kuhusu Josh, anaamini pia amefuata taratibu za kupata kibali ambacho kikawaida kinagharimu gharama kubwa.

Source: Clouds FM
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad