Rais Samia Kutembelea Hanang Kesho

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Rais Samia Kutembelea Hanang Kesho


Rais Samia anatarajia kufanya ziara mkoani Manyara kwa ajili ya kutembelea maeneo yaliyoathirika na maporomoko ya Mlima Hanang katika kijiji cha Kateshi yaliyotokea jumapili ya Desemba 03 mwaka huu.


Mpaka sasa takribani watu 65 wamepoteza maisha kufuatia maporomoko hayo, huku majeruhi wakiwa ni 117 walio kwenye mchanganuoa huu; watu wazima 61, Wanaume 30; wanawake 31, upande wa watoto waliojeruhiwa hadi sasa ni 56 kati yao wa kiume 27 na wa kike 29.


Rais Samia ataanza ziara yake mapema Desemba 07, ikumbukwe kuwa amelazimika kukatisha ziara yake ya Dubai ambako alikuwa kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad