Hatimaye Bondoa Mwakinyo Kupanda Ulingoni Tena, Atazichapa na Bondoa Huyu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hatimaye Bondoa Mwakinyo Kupanda Ulingoni Tena, Atazichapa na Bondoa Huyu


Bondia Hassan Mwakinyo ( @hassanmwakinyojr ) amesema Shirikisho la Mchezo wa Ngumi Duniani (WBO) limeridhia kwamba pambano lake la January 27,2024 New Amaan Complex Zanzibar litakuwa la kuwania ubingwa wa WBO Africa na kwamba sasa atapigana na Bondia Miya NKanku kutoka Congo Katika round 10 uzito wa kilo 72 badala ya Mzimbabwe Enock Msambuzi.


“Message kwako Erick Msambudzi nasikitika

27/01/2024 New Aman Complex Indoor Zanzibar sitaweza kucheza nawe kwasababu ya taratibu za Wasimamizi wa ngumi Duniani ingawa nilikupania na ulikuwa daraja moja jepesi kulivuka lakini nina furaha kuwajulisha Watanzania wenye mapenzi mema na maendeleo ya mchezo ile fursa na ndoto ya kupigania mkanda mkubwa Duniani imepatikana” ——— Mwakinyo.


“27/01/2024 New Amani Complex Indoor namkaribisha na natumai amejiandaa Miya NKanku kutoka Congo katika round 10 uzito wa kilo 72 mkanda wa WBO Afrika tuonyeshane nani alinyonya vizuri ziwa la Mama yake, nawashuruku Wadau wote wanaofanikisha hili Promota Semunyu, Management yangu, Peaktime na Shirika la Utangazaji Zanzibar

(ZBC) chini ya Ramadhani Bukini, nimejiandaa vya kutosha naomba dua zenu karibuni Zanzibar 27/01/2024” ——— Mwakinyo

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad