Oscar Pistorius Aachiwa Huru Baada ya Kukaa Gerezani Miaka 11 Kwa Mauaji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Oscar Pistorius Aachiwa Huru Baada ya Kukaa Gerezani Miaka 11 Kwa Mauaji

Aliyekuwa mwanariadha wa Olimpiki mwenye ulemavu, Oscar Pistorius ameachiwa hurujana kwa msamaha nchini Afrika Kusini baada ya kukaa gerezani kwa takribani miaka 11 kwa kosa la kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.


Alimpiga mpenzi wake risasi kadhaa kupitia mlango wa bafuni mwaka wa 2013 na kudai kuwa alidhani ni mwizi.


Pistorius, ambaye sasa ana umri wa miaka 37, alipatikana na hatia ya mauaji mwaka 2015 baada ya mahakama ya rufaa kubatilisha hukumu ya awali ya mauaji bila kukusudia.


Hata akiachiwa huru, bado ataishi chini ya masharti magumu mpaka kifungo chake kitakapomalizika mwaka 2029.


Kwa sheria za Afrika Kusini, wahalifu wote wana haki ya kuachiwa huru kwa msamaha mara tu watakapokuwa wametumikia nusu ya kifungo

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad