Africa Kusini Yatinga Nusu Fainali Kibabe, Kipa Adaka Penati Nne

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Timu ya Taifa ya Afrika Kusini ambao ni Mabingwa wa AFCON wa mwaka 1996 wamefanikiwa kutinga nusu fainali ya AFCON 2023 kwa kuitoa Cape Verde kwa mikwaju ya penati 2-1 baada ya dakika 120 kumalizika 0-0, Katika upigaji wa Penati Kipa wa  South Africa Ronwen Williams alidaki Penati 4

Hii ni mara ya nne kwa Afrika Kusini kufika hatua ya nusu fainali katika historia yao wakiwa wamefika fainali mara mbili 1996 ambao walikuwa Bingwa na 1998 wakapoteza dhidi ya Misri.

Afrika Kusini sasa watacheza dhidi ya Nigeria katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya AFCON 2023, Cape Verde wao ni mara yao ya nne kuwahi kushiriki michuano ya AFCON na hii ni hatua kubwa kwao.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad