AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Staa wa Bongo Fleva Rajabu Abdul 'Harmonize' na Mpenzi wake Poshy Queeen wamerudisha picha na video walizokuwa pamoja katika akaunti zao za Instagram ambapo hapo awali walizi archive.
Mapema hii leo, wawili hao kila mmoja alifuta picha za mwenzake na pia kufutana urafiki.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK