Kimenuka Udhamini GSM Timu Sita Ligi Kuu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nyaraka ya malalamiko makali, ya wanaojiita wadau wa utetezi wa usawa katika ligi kuu, imenaswa na Times Digital, ikiwa na maneno makali na yenye hisia kali.

Kwa ufupi imeanza kwa kujieleza namna hii.

KUMB:
Ombi la Haraka la Uchunguzi wa Ushindani wa Haki katika Ligi Kuu ya NBC

Mpendwa Mheshimiwa/Bibi,

Tunakuandikia kukuletea jambo linalotia wasiwasi mkubwa kuhusu uadilifu na usawa wa Ligi Kuu ya NBC nchini Tanzania.

Kama wadau na watetezi wa usawa katika nyanja ya soka, tunaamini ni muhimu kushughulikia masuala yanayoweza kuhatarisha uadilifu wa ligi.

Imefahamika kuwa mmoja wa wanahisa wa klabu ndani ya Ligi Kuu ya NBC pia anafadhili vilabu vingine sita vya ligi hiyo hiyo.

Klabu hizo ni pamoja na Namungo, Coastal Union, Ihefu, Tanzania Prisons, Singida Fountain Gate, na Young Africans, zote zikifadhiliwa kupitia kampuni tanzu au ubia wa chapa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad