Kocha wa Mamelodi Aukubali Mziki wa Yanga "Mechi ya Marudio Itakuwa Ngumu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




“Ukweli ukiniuliza matarajio yangu tukiwa hapa yalikuwa ni Mamelodi kushinda na sio kupata sare.

“Tulitamani mechi iishie hapa Kwa Mkapa lakini imekuwa tofauti,niwapongeze Yanga wamecheza vizuri na wameonyesha kuwa ni timu ambayo haikubahatisha kufika robo fainali.

“Tuna mechi tukiwa nyumbani naamini tutakwenda Nusu fainali kupitia mchezo wetu wa nyumbani japo naamini utakuwa ni mchezo mgumu kutokana na ubora wa Yanga,” Kocha wa Mamelodi RHULAN MOKWENA BAADA YA MECHI
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad