Mange Kimambi Afunguka Chanzo cha Ugomvi Wake na Zari Hassan, Makubwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mange Kimambi Afunguka Chanzo cha Ugomvi Wake na Zari Hassan, Makubwa


Ameandika Mange Kimambi:


 For those asking ugomvi wangu na Bi Tukinao chanzo ni nini?

Ugomvi wetu chanzo ni @wemasepetu ,yani mi na Bi Tuks ugomvi wetu ulianzia hapo.

.

When Zari came into the scene Wema bado alikuwa na Diamond. When the rumors started kuhusu Bi Tuks na Dai Wema alihojiwa and she said kuwa those are 2 just friends na akasema she knows Bi Tuks na she is like a friend to her so hawezi kutoka na BF wake.

.

Kumbukeni kipindi hiki Wema alikuwa roho yangu. Yani ukitaka nikunyonye macho mguse Wema 🤣.Sasa fine Zari kambeba bwana wa mwenzie, basi sawa tumekubali bwana unae unatamba nae but just be considerate of the woman who is hurting over losing her man ila what did Zari do? She started bullying Wema, it was sad and painful to watch. Akaanza kumuita Wema poor,a peasant, a low life . Akawa anasema Wema is fake everything,fake house fake car, akavuka mipaka akamwita Wema tasa, aiseee roho iliniuma, kumbukeni Wema mi namjua tangu she is 15 years old, nilikuwa na uchungu nae kama nimezaliwa nae.


That’s where I went into big sister mode na kununua ugomvi mazima. Nikamwambia Wema tulia usimjibu huyu nitapambana nae mimi. So Wema akatulia mimi ndo nikaanza kufight her battles na Zari mpaka Zari akaweka silaha chini akamwacha Wema.

.

I just hated how she bullied Tanzanian women by calling them poor. I wasnt having none of that.

.

So yeah that’s the back story. Beef yangu na Zari has nothing to do with Dai, issue ilikuwa Wema.

.

Kwa wale mnaosema Mange anachukia mwanamke yoyote anaedate na Diamond mna kichaa nyie. Hivi Dai na Zuchu walipoanza kudate who was their biggest supporter? ME!! Nyinyi woote mlikuwa mnamsema king’ang’a ni mbaya ila mimi ndo nilikuwa nasema king’ang’a ni mzuri sana tu ila nyie washamba mpaka muone tako ndo mseme mtu mzuri. King’ang’a nilikuja kugombana nae after mimi ku expose on my app that Giggy na Dai wanatiana na kwamba walitiana ndani ya nyumba huku king’ang’a akiwa humo humo ndani kwenye chumba kingine. King’ang’a akaamua kunichamba and that’s where my issue with king’ang’a started . Pia I didn’t hate Tanasha, she came on the scene bila kutukana ma ex wa Dai. So hiyo narrative yenu ya kwamba I hate kila mwanamke anaetoka na Dai ni very wrong.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad