Lulu Diva: Wema, WHOZU wananiweka njia panda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Lulu Diva: Wema, Whozu wananiweka njia panda« NyumaMbele »Comments (0)Listen to Article WhatsApp Facebook Twitter Email This Lulu Diva: Wema, Whozu wananiweka njia panda Lulu Diva: Wema, Whozu wananiweka njia panda Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Diva amesema kitendo cha wapendanao Wema na Whozu kugombana huwa kinamweka yeye mtegoni kwa sababu wote ni washkaji zake.  Lulu amesema, wawili hao huwa anawashauri kwa nyakati tofauti lakini suala la kuweka sawa tofauti zao linabaki kwao wenyewe.  "Mimi nikiwa na Whozu naweza kumuambia acha hiki acha kile, nikiwa na Wema pia naweza kumshauri hivi na vila lakini kwa kuwa wao ni watu wazima, wenyewe ndio wenye maamuzi kuhusu mahusiano yao," alisema Lulu Diva.

Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Diva amesema kitendo cha wapendanao Wema na Whozu kugombana huwa kinamweka yeye mtegoni kwa sababu wote ni washkaji zake.


Lulu amesema, wawili hao huwa anawashauri kwa nyakati tofauti lakini suala la kuweka sawa tofauti zao linabaki kwao wenyewe.


"Mimi nikiwa na Whozu naweza kumuambia acha hiki acha kile, nikiwa na Wema pia naweza kumshauri hivi na vila lakini kwa kuwa wao ni watu wazima, wenyewe ndio wenye maamuzi kuhusu mahusiano yao," alisema Lulu Diva.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad