Mbunge Mpina Adai Kifo Cha Magufuli Kina Utata, Aomba Uchunguzi Ufanyike

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbunge Mpina
Mbunge Mpina


Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameshauri Bunge liunde Tume Huru itakayochunguza Kifo alichodai kina utata cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa #Tanzania, Hayati #JohnMagufuli kilichotokea Machi 17, 2021
-
Mpina amesema “Baada ya kusikiliza maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo, ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume Huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Dkt. John Magufuli ili kumtendea haki."
-
Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata Watu waliokataa kuapishwa kwa #SamiaSuluhuHassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la Kikatiba."
-
Aidha, Mpina amesema ni vema jambo hilo lifanyike kwasababu mambo hayo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na Mtu ambaye si wa kutiliwa mashaka, hivyo kuna haja ya hii Tume kuundwa
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad