Kuhusu Yanga Kufungiwa Kusajili, Ali Kamwe Afunguka Kwa Uchungu Mkubwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




“Nimeona watu wanasema kuwa Yanga tumefungiwa kusajili kwahiyo hatutaruhusiwa kusajili wachezaji
hapana haipo hivyo watu hawajaelewa.

“Sisi tunadaiwa madai ya wachezaji kama Lazarous
Kambole hivyo tunamlipa mchezaji huyo kwa awamu na
pale tutakapomaliza deni tutafunguliwa kusajili.

“Na sisi tuna uhakika wa kulipa deni hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi kwani tukikamilisha tu
tunafunguliwa kusajili, utaratibu ndio upo hivyo.

Sasa kunawatu wasiotutakia mema wanazusha kuwa ndio haturuhusiwi tena kufanya usajili tumefungiwa,
niwaambie kuwa tutawashangaza kwenye usajili ujao hili nalo litapota "  By Alikamwe
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad