Maskini Man United Imejichokea, Yapigwa Mabao Manne Bila Huko...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Maskini Man United Imejichokea, Yapigwa Mabao Manne Bila Huko...


Baada ya kuwa na matokeo ya kusuasua katika Msimu wa 2023/24, mambo bado hayajapoa kwa #ManchesterUnited ambayo imekubali kichapo cha magoli 4-0 kutoka kwa #CrystalPalace kwenye mchezo wa #PremierLeague

Magoli ya Michael Olise (mawili), Jean-Philippe Mateta na Tyrick Mitchell yameifanya Palace kufikisha pointi 43 ikiwa nafasi ya 14 huku Man. United ikibaki nafasi ya Nane ikiwa na pointi 54 ikisaliwa na michezo mitatu kumaliza msimu

Mchezo ujao wa United itakuwa Uwanja wa Old Trafford kuikaribisha #Arsenal ambayo ipo kwenye mbio za kuwania ubingwa
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad