Ndoto ya Mchezaji Kichuya ya Kujiunga na Jeshi Yakamilika....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kiungo mshambuliaji wa JKT Tanzania, Shiza Kichuya kwa sasa ni askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT ) baada ya kufuzu mafunzo ya Jeshi hilo.

Klabu hiyo imetoa nafasi kwa baadhi ya wachezaji wa kikosi hicho kujiunga na Jeshi hilo kwa kuwapa mafunzo ya Kijeshi.

Katika pambano la JKT Tanzania dhidi ya Simba SC uliochezwa katika Uwanja wa Meja Isamuhyo Mbweni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam baadhi ya wachezaji wa kikosi hicho walionekana katika muonekano wa Vipara.

Kabla ya kwenda katika mafunzo hayo ya Kijeshi, wahusika huwa wananyolewa nywele na kubaki na Vipara tayari kwa kuanza mafunzo.

Miongoni mwa wachezaji wa kikosi hicho ambao waliopata mafunzo hayo ni Shiza Kichuya, Martin Kigi, David Bryson, Wema Sadock, Hassan Nassoro, Maka Edward, Sixtus Sabilo na Hassan Kapalata
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad