Taarifa Kutoka TANESCO, Baada ya Maeneo Kukosa Umeme

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tanesco



Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirisha umeme ya Gridi ya Taifa kuanzia majira ya saa 8:40 usiku wa kuamkia leo May 04,2024 hivyo kusababisha baadhi ya maeneo Nchini kukosa huduma ya umeme.


Mpaka sasa baadhi ya maeneo ya Mikoa ya Dodoma na Iringa huduma imeanza kurejea na Wataalamu wa TANESCO wanaendelea na jitihada za khakikisha wanarejesha huduma ya meme kwenye maeneo yote yaliyobaki Nchini.


“Shirika linawaomba uvumilivu Wateja wake katika kipindi hiki ambacho huduma ya umeme inakosekana”

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad