Yanga Noma Yaichapa Kagera, Bado Piont 4 tu Watangazwe Kuwa Mabingwa Ligi Kuu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Goli pekee lililofungwa na kiungo mshambuliaji, Mudathir Yahya dakika ya 83 limeiwezesha #Yanga kushinda 1-0 dhidi ya #KageraSugar na hivyo kufikisha pointi 68 katika

LigiKuuBara ikiwa na maana imesaliwa na pointi takribani 4 ili iweze kutangazwa Bingwa wa Ligi hiyo

AzamFC na #Simba ambazo zinashika nafasi ya Pili na Tatu kwenye msimamo zina uwezo wa kufikisha pointi 72 na 71 katika michezo yao iliyosalia, inamaanisha idadi ya pointi kwa Yanga kuwa Bingwa zinaweza kupungua kutoka 4 kutokana na matokeo ya mchezo wa Simba dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kucheza Mei 9, 2024

Michezo iliyosaliwa kwa Timu 3 za juu kwenye msimamo, Yanga (4), Azam FC (5) na Simba (6)

Upande wa Kagera Sugar yenyewe imebaki nafasi ya 7 ikiwa na pointi 30 katika michezo 26
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad