Edo Kumwembe 'Afadhali Chama Ameenda Yanga, Kuondoa Ufalme wa Mtu Mmoja Simba'

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Edo Kumwembe 'Afadhali Chama Ameenda Yanga, Kuondoa Ufalme wa Mtu Mmoja Simba'
Edo Kumwembe na Chama


“HATIMAYE baada ya kumsaka kwa miaka mingi, Yanga wamempata mtu wao. Clatous Chama. Mwamba wa Lusaka. Afadhali amekwenda Yanga. Tulichoshwa na uvumi wa kila siku kuhusu Chama kwenda Yanga. Hata mashabiki wa Simba walichoshwa na uvumi huu.
.
“Kuna tafsiri nyingi kwa Chama kwenda Yanga. Kwanza kabisa kunaifungulia milango Simba kutengeneza timu ambayo haina mfalme mmoja mkubwa klabuni. Walimuacha Chama akawa mkubwa kupita kiasi. Nadhani wapo ambao hadi sasa hawaamini kuwa Chama amekwenda Yanga.” — Edo Kumwembe [via Jicho la Mwewe]
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad