WILLIAM MALECELA " CCM TUNAWAHITAJI SANA CHADEMA HII INAYOONGOZWA NA AKILI NDOGO-TUWASAIDIE WASISAMBARATIKE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

- Ni muda mrefu sasa kumekuwa na mtafaruku mzito ndani ya Chadema ambao umekuwa ukikitafuna sana chama hicho, na pia kuna utabiri mzito sana ulitolewa na Waziri Wassira kwamba Chadema ipo katika siku zake za mwisho. Ninasema hivi kufa kwa Chadema kama dalili zinavyoonyesha sasa hivi sio the best Interest ya chama chetu CCM. Tunahitaji kuwasaidia sana waendelee kuwepo kwa sababu they have proven time and time kwamba ni paper tiger tu, wazuri kwenye makaratasi lakini hawana nguvu yoyote kisiasa.

- Kupitishwa kwa musawada wa Katiba mpya juzi bungeni ni mfano mzito sana ulio hai wa jinsi wasivyo na nguvu kabisa za kisasa za opposed na makelele yao ya kila siku na lile gazeti lao lenye makao makuu yake kwenye Club ya Disco ya Mwenyekiti wao. Ninawaomba sana CCM tunahitaji kuwa makini sana na matatizo ya chama hicho sasa hivi, tutumie nafasi hii kuwasaidia wasiambaratike maana Chadema ikisambaratika tutaanza kufukuzana na adui tusiyemjua, ni bora kushindana na huyu huyu adui tunayemjua, anayelia posho za wabunge ni kubwa na huku anazipokea, anayelia lia kwamba magari ya wabunge ni ya gharama sana na huku anayapokea hayo hayo. Anayelia lia safari za Rais huku wabunge wake wanasafiri kila siku nje kwa visingizo vya kamati za bunge.

- AGAIN KWA WANA-CCM WOTE NI KWAMBA TUNAWAHITAJI SANA CHADEMA HII INAYOONGOZWA NA AKILI NDOGO, MAANA OTHERWISE TUTAKUTANA NA WAPINZANI WENYE AKILI KUBWA WATATUSUMBUA, TUWASAIDIE WASISMBATRATIKE!! ha! ha! ha!

- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!


LE Mutuz Big Shoow!!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani huyu Willy ni mlevi? Kama ndio anakunywa pombe gani? Mbona maneno yake yanafanana na wale wanaokunywa wanzuki pale vingunguti mwembesindimba! Naomba wadau mnijulishe

    ReplyDelete
  2. PEOPLES POWER...!CHADEMA DAMDAM HUWEZ NIAMBIA K2 KUHUSU CCM,HAWANA JPYA WANAHUJUM UCHUMI WA NCHI...TUJIPANGE SANA CHADEMA ILA HAWA CCM 2WAZME KAMA KIBATARI..

    ReplyDelete
  3. duuu!!! tuombe mungu chadema isife tutayamisi baadhi ya vitu kama vile:-{1}maandamano {2}matusi ndani ya bunge {3}kususia vikao vya bunge (4)na yale magwanda yao ya askari KAR mwisho jamani tumuombe mgonjwa (chadema} atoke ICU angalau alazwe hata MWAISELA!!!!

    ReplyDelete
  4. We Willy unasiasa za kujifunza wewe sio mwanasiasa kabisa na hizo gia zilikua za kuingilia Tanzania manake unajua A na B napita kaka tulia sasa

    ReplyDelete
  5. Uyu mzee naye anazeeka vibaya cjui alichoandika hapo

    ReplyDelete
  6. Msimshangae huyu willy CCM wanamfumo wa kifalme wanarithishana uongoz ukiona hivyo kashaahidiwa cheo CCM ikifa atakula WAP?

    ReplyDelete
  7. Samaki akioza mvuvi mwenye akili humtoa kutoka kwa wazima. CCM iliamuru samaki aliyeoza ajitoe mwenyewe( kujivua gamba ) ni akili au matope. Acha kufinya uwezo wa akili yako kijana Will.

    ReplyDelete
  8. Mzembe sana hyu will anafaa kuimba taarabu siasa hawezi.

    ReplyDelete
  9. Alafu eti wewe unataka kuwa kiongozi na mwanasiasa tanzania and some time your talking Bullshit and such Nosense...Yes naamimi kuwa nchii tutabakia kama tulivyokuwa kama wanasiasa wenyewewe ni FOOLS like him...Ivi inakuaje kuaje na umetokea wapi mpaka unaingia katika siasa na umeijulia wapi...nhaa haaa nimekumbuka cause dingi yako alikuwa ccm nhee...Basi huu ndo mchezo wao kurithishana vyeo kama nchi ni yao vile wao peke yao..You can never be my leader in anyway..FOOLISH PHAT MAN...Viongozi katika nchi hii ambao nawakubari ni J.Nyerere na Benjamini Mkapa Much Respect to them...but awa wengine trust me wako hapo kwajiri ya wao binafsi na familia zao na si kuwasaidia wananchi...But siku itakuja tutapigana mitutu katika hii nchi na tukose wote.

    ReplyDelete
  10. willy upo kama mwimba taarabu huwezi kumsikia mwnasiasa aliye komaa aa zungumza haya wewe mtoto wa mama pia kwakua ab yako alikua ccm so umehaidiwa ubunnge alifu bungeni uka zungumzeee taarabu pia huna akili shuke akukusaidia lemutuzi jini hovyoooo matupe mululazzzz kama flora lyimo

    ReplyDelete
    Replies
    1. haswwaa mdau pia ana sira mbaya mpaka roho siasa ni kua namtazamotofauti sio iadui mjinga huyo kwa kua baba yake malechela ndio maana mke alimkimbia huyo.so ata weza kumwongoza naniii

      Delete
  11. ivu uyu wily anajisifu nn? ina maana pamoja na di-griii zake zooooooote amexahau kuwa "in order change(development) to take place conflicts are inevitable" jipange willy kisiasa bado hujavunja ungo!

    ReplyDelete

Top Post Ad