John Shibuda: CHADEMA ni Gunia Tupu, Kasulumbai Amjibu Asema Shibuda ni Chizi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kada wa CHADEMA John Shibuda amesema chama chake ni gunia tupu wanapiga kelele tu, amesema hayo wakati wa hotuba yake bungeni ambapo mbunge huyo wa Maswa alipewa nafasi ya kutoa hotuba na kukishambulia chama na UKAWA. 

Pia amesema CHADEMA amekipa talaka kwa jimbo lake kwa hiyo watafute mtu wa kugombea mwaka kesho. Kasulumbai ajibu na kusema Shibuda ni chizi anasubila kuvua nguo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hana shukrani mtu mzima hovyo

    ReplyDelete
  2. Hawa jamaa wanavyovurugana raha sana yaani wanatupa chance ya wazee wetu kuwepo kwenye system milele, na mtajuta kuzaliwa bongo ni mwendo mdundo.

    ReplyDelete
  3. HV Hawa ukawa.....tukianzisha zoezi LA kujadili katiba ya EAC watajiitaje....maana wao hupenda kujitenga Na kuform kikundi

    ReplyDelete
  4. huyu shibunda ndio mwisho wake wa ubunge utausikia tu hafai kabisa

    ReplyDelete
  5. Kwa sasa jazba,visasi,ndio vinakuwa msingi wa CHADEMA,
    Mbaya zaidi wale tuliokuwa tunawafagilia ndio hawapendwi,wamepikiwa fitna na hawana sauti tena.Eti 2015?????? Haaaaaaaaaaaaaaa ni NDOTO.

    ReplyDelete
  6. ndoto unaota wewe kaka/dada, UKAWA mwendo mdondo 2015!!!! utasikia kwenye bomba tu!!!

    ReplyDelete
  7. unajua ukiwa unamtolea mtu matusi halafu hakujibu ni kwamba anakudharau tu, ni sawasawa na Chadema na hili lishibuda, yeye anaropoka tu lakini Chadema hawamjibu sababu wanaliona lenyewe ndo GUNIA!!

    ReplyDelete

Top Post Ad