Shamsa Ford Afurahia Kurudiana na Ney wa Mitego

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BAADA ya kauli ya rapa Ney wa Mitego kwa mpenzi wake wa zamani, Shamsa Ford kwamba kama anachagua wasichana wa kurudiana naye atakuwa wa kwanza kutokana na ukarimu na mapenzi yake, mrembo huyo ameibuka na kufurahia kauli hiyo.

Shamsa aliliambia MTANZANIA kwamba, “Mimi na Ney tuliwahi kuwa wapenzi japo tumeachana ila kiukweli tulipendana sana na kama tutarudiana hakuna tatizo kwa kuwa nampenda sana.

“Tuliachana na Ney kutokana na maneno maneno ya watu waliokuwa hawapendi penzi letu, lakini kama anataka turudiane nipo tayari,” alijieleza Shamsa huku akifurahia kauli zake hizo.

Aliongeza kuwa yeye si mnafiki kwa alichonacho moyoni na hawezi kuongea kwa kashfa kama baadhi ya waigizaji wenzake wanapotofautiana ama kuachana na waliokuwa wapenzi au waume zao.

Shamsa Ford amewahi kutamba na filamu mbali mbali ikiwepo ‘Bado natafuta’ na ‘Chausiku’.

Mtanzania
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hujielewi ww..mara nina mtu mara mapenzi na mastaa mm basi hv mwalimu wenu nyie wasanii ni nani...yani vichwani mmjaa funza tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umenichekesha... yaani nimeshindwa kumuelewa hii mitandao hawajui kama ina limit? Huwezi ukawa unaweka mambo yako binafsi hadharani kiasi hicho dah!

      Delete

Top Post Ad