Ninauwezo wa Kumzuia Zitto Kuzungumza Mpaka Mwisho wa Bunge Kwani Hawezi Kupambana na Mimi- Job Ndugai

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ninauwezo wa Kumzuia Zitto Kuzungumza Mpaka Mwisho wa Bunge Kwani Hawezi Kupambana na Mimi- Job Ndugai
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai, amesema ana uwezo wa kumzuia Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe kuzungumza mpaka mwisho wa bunge, kwani hawezi kupambana naye.

Spika Ndugai ametoa kauli hiyo Bungeni ambapo amesema Zitto Kabwe hawezi na hapaswi kujibizana naye, na kumtaka Zitto Kabwe kutomfananisha na aliyekuwa Spika wa Bunge marehemu Samuel Sitta, kwani hawezi kufanana naye na kila mtu ana muda wake, kama ambavyo Spika wa bunge aliyepita mama Anna Makinda alivyokuwa na muda wake kuliongoza bunge hilo.

Hapo jana Spika Ndugai alimtaka Zitto Kabwe kufika kwenye kamati ya maadili kutoa maelezo juu ya taarifa alizoziweka kwenye mtandao, na Zitto Kabwe kumjibu kuwa mambo anayoyafanya Spika yanaporomosha bunge

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. viongozi tujenge uvumilivu. hakuna haja ya kuonyeshana kwani mwisho wa siku we ni kiongozi tu. dhamana uliyoibeba ni zaidi ya kulumbana wa watu wko wa chini.

    ReplyDelete
  2. Zitto hajiheshimu ni kijana anaetaka kuwakosea heshima watu wazima.
    na isitoshe anatafuta ajira toka ...
    Mchongo wake tunaujua na uwezo wake kiakili tunaujua.
    na isitoshe Matatizo yake ya KIAKILI pia tunayajua.
    kwa ufupi huyu kwa kujulikana Uhalisia wake. kwa sasa TUNAMUONA ALIVYO

    ReplyDelete

Top Post Ad