Raila Odinga Kuapishwa Disemba Kuwa Rais wa Kenya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kiongozi wa Upinzani Kenya NASA, Raila Odinga amesema anatarajia kuapishwa kuwa Rais wa nchi hiyo Desemba 12, mwaka huu ambayo itakuwa  siku ya uhuru wa Kenya.

Odinga ametoa kauli hiyo ikiwa katika uwanja wa Jacaranda saa chache baada ya Rais Kenyatta kuapishwa kuwa Rais katika uwanja wa Kasarani.

Hata hivyo, wakati Odinga akisema hayo, Rais Kenyatta mara baada ya kuapa amewaambia na wananchi wa Kenya kuwa hakutakuwa na shughuli zingine za uchaguzi na yeye ndiye Rais mteule wa Kenya.

Hata hivyo, Polisi nchini Kenya walivamia uwanja uliopangwa kufanyika mkutano na maombolezo ya wananchi waliofariki wakati wa vurugu za uchaguzi wa marudio uliofanyika Oktoba 26, mwaka huu.

Rais Uhuru Kenyatta ameapishwa leo kuwa Rais wa Kenya ili kuwatumikia wakenya katika muhula wa pili wa uongozi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera Raila .... Hongera Uhuru
    Nyinyi wote ni Wakenya na Mna Haki sawa Katika Kulitumikia Taifa Lenu Sawa.
    Itakuwa Vyema na Busara mkagawana mihula au Kanda za Utekelezaji wa Majukumu katika kuiletea maendeleo Kenya Yetu HAKUNA MATATA.

    KENYA OYEEEEEE ... NYINYO WOTE IN WASTAARABU NA HAKIWEZI KUHARIBIKA KITU. KENYA KWANZA

    ReplyDelete

Top Post Ad