AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kuna taarifa zilisambazwa kwamba Lulu alichukuliwa na gari binafsi la
familia yake baada ya kutoka Mahakamani, ukweli ni kwamba alichukuliwa
na gari la Magereza kama unavyoona hizi picha baada ya Mahakama kumpatia
dhamana yenye masharti ambayo upande wa Lulu ulisema yote yametimia na
wanachosubiri ni uthibitisho wa Msajili ambae ndio angeruhusu Lulu
kutoka.
Picha zaidi zipo Chini
Picha na Millard Ayo
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK