Binti Atekwa Na Kubakwa na Vijana Wanne Kwa Muda wa Miezi Minne

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kijana huyu mkazi wa kibaha kijiji cha kidimu anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumteka msichana wa kijijini hapo na kumfanya mateka wake.Binti huyo alipotea kwao kwa miezi minne na kupatikana juzi taehe 26 baada ya kupata upenyo na kutoroka.Hawa vijana wametoka Kigoma na walikuwa Kibaha wakitumika kama walinzi katika mashamba ya watu

Binti huyo alipotea hapo kijijini toka mwezi wa kumi na moja mwaka jana.Alishatafutwa kila kona ya kijiji hicho,waganga nao kupelekwa kuagua kuonyesha alipo mpaka manyau nyau alishafika huko.Wazazi walishaomba sana kanisani na kukata tamaa kuona kwamba kashakufa wakaweka na msiba kabisa.Kumbe alikuwa yupo kijijini akiwa kafichwa hapo  kama uonavyo katika picha.


Kwa muda wote alkuwa akiishi kwenye hicho kichumba kama mke wa huyo kijana tena akiwa chini ya ulinzi mkali.Akapata na mimba kabisa ya miezi miwili wakamtoa kwa majani ya chai.Alipatikana juzi tarehe 26 baada ya kupata upenyo na kukimbia.

Hapa anaonyesha jinsi alivyokuwa akilala hilo eneo.


Vijana hao wanashikiliwa na polisi wapo watatu tayari kufikishwa mahakamani.Story zaidi endelea kusikiliza leo tena ya clouds fm kesho kupitia heka heka za leo.Leo ulisikiliza kiasi kesho pia itaendelea saa sita na nusu mchana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hao inabidi wanyongwe kabisa mana ni wauwaji

    ReplyDelete
  2. Majamaa walikua na maugwadu nn.

    ReplyDelete
  3. Dah.... Sielewi!! Ubinadam unatutoka siku hadi siku,nafikiri sheria za ubakaji zingeangaliwa upya hivi vitendo vinazidi kwa kasi.

    ReplyDelete
  4. Yani hao wanyongwe kibasa yani hata huruma jamani.. Serekari waliangalie

    ReplyDelete
  5. So sad nimesikiliza jaman yule bint mimba ya miez miwil unamtoa na majan ya chai hao ni wauwaji wanyongwe
    Maana vitendo hv mpaka lin kwa kwel

    ReplyDelete
  6. So sad nimesikiliza jaman yule bint mimba ya miez miwil unamtoa na majan ya chai hao ni wauwaji wanyongwe
    Maana vitendo hv mpaka lin kwa kwel

    ReplyDelete
  7. Hao vijana wameshamuharibu huyo bint akili na mwili, na hukumu yao iwe kifo hakuna jippya.

    ReplyDelete

Top Post Ad