Breaking News: TCRA Yafungia Vituo Viwili vya Radio Huku Clouds FM Ikipewe Onyo Kali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Habari zilizotofikia hivi punde kutoka katika chanzo cha uhakika kabisa ni kwamba TCRA yafungia vituo  viwili vya Radio ikiwemo Radio Iman ya mjini Morogoro na Radio kwa Neema kwa muda usiopungua miezi sita huku Radio Clouds Fm ya jijini Dar Es Salaam ikipewa onyo na kutakiwa kulipa Faini katika kipindi cha mwezi mmoja.

Udakuspecially.com itakuletea Taarifa kamili kinaga ubaga hasa sababu ilopelekea TCRA kuchukua maamuzi haya mazito.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yano clouds mpaka tv yao haina maadili. I alwys say when u have cheap labour itaku kost tu one day. Yametimia sasa

    ReplyDelete
  2. Anoy hapo juu uko sawa hawa clouds hawana maadili na hata hawana proffesional.ethics only bs no shule.
    Kama kipindi cha yule dada ala za roho ndo upuuzi kabisa.
    Rudi xxl hakuna kitu.
    Tv yao ndio mavi kunuka.
    Sijui kwann wasifungiwe kabisa. Big up tcra

    ReplyDelete
    Replies
    1. I see,,,u hav chuki binafc!!? So my frnd wametozwa fain tu!! Kwa radio km ile nipesa ndogo watatoa ww usitune dat radio uone unawapunguzia nn!

      Delete
  3. Yano clouds mpaka tv yao haina maadili. I alwys say when u have cheap labour itaku kost tu one day. Yametimia sasa

    ReplyDelete
  4. Maadili?? Ckilizeni wote anony hapo juu mjue kutofautisha radio,clauds inadil na habari naintertmnt ss mkitaka iwe km tbc taifa mmmh! Msiishi kwa kukarir.....km unamiaka 40 or enzi zamwalim huwez enjoy na vitu vinavyoenda na wakati.vzr mckilize radio za umri wenu!!

    ReplyDelete
  5. Clouds fuck u beta mfungiwe kabisa

    ReplyDelete
  6. Clouds fuck u beta mfungiwe kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad