Julio Asema“TID anafaa sana katika mashindano ya Big brother"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Julio-Big Brother Africa

Mwakilishi wa Tanzania wa mwaka jana katika shindano la Big Brother Africa Julio amesema TID anaweza kuwa mwakilishi mzuri kwenye shindano hilo mwaka huu.


Julio alisema hayo jana wakati alipokuwa akitambulisha ngoma aliyoshirikishwa na Lucci, Waters Up kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM na ndipo alipoulizwa nani anafaa kushiriki katika shindano hilo mwaka huu.

“TID anafaa sana katika mashindano ya Big brother kwasababu ni mcheshi pia ni mtu mwenye sifa zote za kushiriki shindano hilo la Big Brother, ” alisema Julio.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. anasifa sana so ni rahisi watu kumchukka na kumtoa,hafai hata kidogo

    ReplyDelete
  2. First of ol he have to behave coz tunaomfahamu TID well ni mwepesi sana kuachilia matusi yani ukimkera kidogo anaflow matusi na sio siri anayajuwa kama kasomea so first a behave but stuffs zingine anazo quality za kujoin coz he fun,talkative en charming.

    ReplyDelete

Top Post Ad