Paul Makonda Atoa Mpya; Nipo Tayari Kupoteza Kila Kitu....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amewaambia wananchi wa mkoa huo kwamba yupo tayari kupoteza chochote alichonacho ili mwananchi mmoja wa Arusha aweze kupata haki yake na kunufaika na cheo chake.


Makonda ameyasema hayo leo wakati akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye kliniki ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi.

Amesema hawezi kukaa kwenye kiti cha mkuu wa mkoa ilihali wananchi anaowaongoza wakiteseka na changamoto mbalimbali ambazo zipo ndani ya mamlaka yake ya uongozi.

Aidha, Makonda amewataka wananchi hao kung'ang'ana kudai haki yao wasiogope kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa wanasheria bingwa kutoka ofisi zaidi ya 75 za mawakili ili kuwasikiliza na kuwapa misaada ya kisheria.

Makonda amesema hatokubali kuendelea kuona vilio vya wana Arusha waliokata tamaa kutokana na kutosikilizwa kero zao na kutatuliwa akiahidi kuijenga heshima yake kwa kurejesha haki kwa wananchi wa Arusha walionyang'anywa haki zao.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini: 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad