AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwanamuziki wa muda mrefu, Lady JayDee a.k.a Binti Komando yuko mbioni kuachia wimbo wake mwingine mpya kabisa utakaokwenda kwa jina la ''JOTO, HASIRA''.
Jaydee amekuwa kimya kidogo kwenye kuachia ngoma mpya kwa muda mrefu sasa, na sasa anarudi tena na ngoma hiyo ambapo ndani yake amemshirikisha rapper wa muda mrefu pia, Profesa Jay.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
dada wemkali mno
ReplyDeleteauz kama mademu wengine ,
ReplyDelete