Namwacha Mchumba wangu kwa sababu ya Simu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimegundua wanawake sio viumbe wazuri hata kidogo,nina umri wa miaka 36 na mchumba wangu ana umri wa miaka 34,tumekutana miezi minne iliyopita na uhusiano wetu ulikuwa mzuri kwani nilimwamini na kwa kweli ana uwezo kunizidi,mtakumbuka miezi ya hapo nyuma nilileta mada hii hapa,ilikuwa ni true story kabisa
kitu kimoja ambacho huyu dada amekuwa akinisumbua nacho ni simu zake mbili za mkononi,huko nyumba tumewahi kugombana mara kadhaa kwa ajili ya simu,yaani anazificha na hataki kabisa mimi nizishike japokuwa kila simu ina password
jana usiku nililala kwake lakini asubuhi nilipoamka nikagundua simu zake hazipo hapo chumbani kwake,nikamuuliza simu zako ziko wapi?
akachukua begi lake la mkononi na ku search ndani yake hakuna kitu,halafu akawa kama ameshtuka na kusema nilizisahau kwenye gari jana jioni,nikachukua fungua za gari na kwenda kuzichukua lakini sikuona kitu
nilipomuuliza zaidi akawa mkali na kuniwakia eti simwamini kwa sababu ya simu,kilichonishangaza ni kwa nini awe mkali kuulizwa habari ya simu??niliamua kuondoka asubuhi ile ilikuwa saa kumi na moja na kuchapa yeboyebo zangu kurudi kwangu
nimeamua kumwacha kwa sababu japo nilishaanza kumwamini lakini trust yangu imeuwawa na kitendo cha yeye kuficha sana simu
kwani hizo simu zina nini cha siri??nilikuwa nataka tufunge ndoa kabisa mwaka huu lakini kwa mpango huo nitakaa alone milele hapa duniani
bora niishi peke yangu kuliko kuwa na mwanamke mwenye siri
this is true story!!!!
Vodacom, Tigo, Airtell mpo hapo?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. me nina weza kwambia acha kuwa foolish wewe jiamin kwenye mapenzi hutakiwa kuchunguzana mambo ya sm utaharibu mahusiano yenu alaf anakupenda ndo mana upo nae paka xaxa das all

    ReplyDelete
  2. Hizo simu kwani ulinunua wewe , those are personal property like her clothes and others. Kwani ulipenda simu zake au yeye tena huyo demu anashow love kiasi kwamba unalala kwake na uroda unapata hunyimwi wewe kaa tulia na huyo demu simu kitu gani bana.

    ReplyDelete
  3. sasa bwana wewe, kwenye cm za mkeo unatafuta nini, simu ni kitu personel kuna mambo yake ya siri inawezekana sio kitu ambacho wewe unafikiria(wanaume ) labda ni drug dealer kwahiyo vitu kama hivyo hataki ujue

    ReplyDelete

Top Post Ad