Timbulo Ashukiwa Kukamatwa Na Madawa Ya Kulevya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna tetesi kuwa msanii amekamatwa mjini Bujumbura, Burundi kwa tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya. Timbulo alikuwa nchini humo akiwa anafanya shows mbalimbali. Bado tunaendelea na kufuatilia taarifa kamili juu ya habari hii.

Timbulo ambae anatamba na baadhi ya ngoma zake kama Domo Langu, Waleo Wakesho, Samson Na Delila na ngoma hizo kumfanya atambulike zaidi katika tasnia hii ya muziki inasemekana amekamatwa na madawa ya kulevya.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Thank you, I have recently been looking for information approximately this subject for a while
    and yours is the greatest I have found out till now.
    However, what in regards to the conclusion?
    Are you sure concerning the source?

    My web blog Mathematics

    ReplyDelete

Top Post Ad