Wasanii Three Wamuiga Steve RnB kwa Kutumia Beat Ya Jambo Jambo, Yupo Man Walter, Zisikilize Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya wimbo wa Steve RnB, Jambo Jambo kuhit, wasanii wengine watatu wameamua kujaribu bahati zao kwa kutumia beat hiyo ya riddim kutoka Jamaica kwa kufanya version zao. Wasanii hao ni Pestman wa Mwanza aliyefanya wimbo uitwao Mi Beautiful, producer Man Walter wa Combination Sound aliyefanya wimbo uitwao Nawaogopa na Lil Ghetto na Baby J waliorekodi wimbo uitwao Mimi na Wewe . Zisikilize kwa pamoja ndani. Hii Ndio Mixer ya Nyimbo zote Tatu: Credits:Bongo5.com
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atkins also emphasized the requirement of discovering your personal individual carbohydrate amount.
    Starting, the program offers that you will see obvious benefits in five weeks.

    They'll then send you an application.

    Review my site - cure diabetes - wtfmedia.me -

    ReplyDelete

Top Post Ad