AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kwa Habari nyepesi Nyepesi nilizo zipata Kibali cha ghorofa lililoporomoka jana kwenye makutano ya Barabara za Morogoro na Indira Ghandi,ni utata mtupu. Kwa mujibu wa nyaraka zilizopo Manispaa ya Ilala,kibali hicho kilichotolewa kwa Salu Consult,kinaonesha kuwa jengo hilo lilipaswa kuwa la ghorofa kumi na si kumi na sita. Nani alibadili kibali? Kwanini? Serikali isipokuwa makini,majengo marefu yatakuwa maangamizi yetu!
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK