Maskini:Mama Mjamzito Aanguka Toka Ghorofani Leo Asubuhi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msichana huyu Mjamzito alianguka toka kwenye ghorofa ambapo mme wake anafanyakazi kama mjenzi.
Kwa sasa yupo mahututi, na tumuombee tukiamini maombi yetu kwa Mungu yatasaidia kumponya...Tutawaletea Habari zaidi Baada ya Kupata Mkasa Mzima..Stay tuned.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ameanguka wap?hujui
    Anaitwa nani?hujui
    2takuamini vp?

    ReplyDelete
  2. we kilaza co leo kaanguka jana afu we kwa kukopi??? Dah

    ReplyDelete
  3. Mbona hueleweki? Tupe 5W + H man!

    ReplyDelete
  4. Hacha kuzngua mzazi ishu imetoke jana we una post leo na unasema imetokea leo hiyo ishu.

    ReplyDelete
  5. Hivi ni macho yangu ama,yani mtu yuko bize kuchukua picha badala ya kutoa msaada....tunaelekea wapi jamani?

    ReplyDelete

Top Post Ad